Pumzika kwa Amani Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli

Tgs 2
Wanachama wa Jumuiya ya wajiolojia Tanzania (TGS), tumepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli. Tunatoa pole kwa Serikali, Famiia, Ndugu, Marafiki na Watanzania kwa ujumla. Wajiolojia watakukumbuka daima kwa mambo mengi ya maendeleo uliofanya kwenye sekta ya madini.